Post on 27-May-2018
transcript
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2
Welcome to the Longman Kenya schemes of work
We are delighted to bring you Kiswahili schemes of work ready for use.The Kiswahili schemes of work are in line with our mission which is to make your work easy so you can focus on the business of teaching. While preparing these Kiswahili schemes, careful consideration was given to the need to make your classes innovative, lively and inspiring. The schemes cover the entire secondary cycle, from form 1 to 4. You will need to scroll down the CD to get to your specific subject area. The subject areas are arranged alphabetically.We do hope you will find the suggested activities and resources motivating and in line with the curriculum requirements. The schemes are a guide and you should adapt them to suit your particular circumstances.The Kiswahili schemes of work are based on the following tried and tested Longman Kenya textbooks and supplementary books:
Textbooks Hazina ya Kiswahili Kidato 1-4
Reference Books Marudio ya KCSE ya Kiswahili Zilizala na Kimani Njogu (New)
To make the most of the schemes you need to have the books listed above.
We know that in this new era of multi-media technology the needs and expectations of your learners are constantly changing, and we aim to provide inspiring, innovating and high-value books that will keep them interested. Whatever your subject area or interest Longman Kenya has something for you.We look forward to supporting you and your learners over the coming years and hope you enjoy using our schemes of work.Do not hesitate to contact me for any clarifications.Best wishes
Jacob Macharia
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2Sales Manager, Longman KenyaTel: Mobile – 0724 159770 Office – 020 2219177
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2MUHULA 1
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
1 1 Kusikiliaza na kuzungumza
Matamshi silabi tatanishi sa/shaSa/za
Aweze kufanya matamshi bora ya silabi
- Matamshi
- Mazungumzo
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 7
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Ubao
2 Sarufi Msingi wa maneno –mofimu na aina zake
Aweze kueleza maana ya mofimu na aina zake zote
- Matamshi
- Maelezo
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 8
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Kusoma Kusoma kwa sauti maneno trataniship/b , l /rs/sh , ch/sh
Aweze kusoma kwa sauti na kwa usahihi maneno tatanishi
- Kusoma
- Kusikiliza
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 56
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Ufahamu Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali ipaswavyo
- Kusoma
- Kujibu maswali
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 3-5
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
5 Kuandika Insha Aweze kuandika insha bora nay a kuvutia
- Maelezo - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 12
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2JU
MA
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
2 1 Kuskiliza na kuzungumza
Maamkizi na mazungumzo katika miktadha Hotelini
Aweze kutambua na kutumia ipasavyo maakizi kulingana na wakati
Kuigiza maamkizi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.58
- Mwongozo Wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
2 Sarufi ViambishiMaana Aina
Aweze kutumia viambishi ngeli na matarajio ya kila ngeli
Kutunga sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 17
- Mwongozo Wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Aina za maneno –maana kijuma/kawaida
Aweze kueleza maana ya aina za maneno na atoe mifano mwafaka.
Kutaja kueleza
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 30
- Mwongozo Wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Kusoma kwa mapana na maerefu
Aweze kusoma kwa kina na kuweza kupanua msamiati wake na lugha
Kusoma - Majarida
- Magazeti
- Vitabu
Majarida
Mageti
5 Kuandika Kusoma muhtasari/ufupisho
Aweze kusoma kifungu cha habari na kukifupisha vilivyo
Kusoma kuandika
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 79
- Mwongozo Wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2JU
MA
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
3 1 Kusikiliza na kuzungumza
Mahojiano Kwa mfano daktari na mgonjwa
Aweze kushirki vilivyo katika mahojiano na kujibu maswali vilivyo.
Kusema
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk .58
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi 2 Sarufi Nomino
-dhahania-kitenzi
Aweze kutaja na kubainisha majina ya dhahania na kitenzi jina.
Kutaja
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk .30
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi 3 Sarufi Nomino
-jamii-wingi
Aweze kusoma kwa makini na kwa ufahamu kisha kujibu maswali kwa ufahamu
Kutaja
- Hazina ya Kiswahili Kidato Uk .30
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Ufahamu Aweze kusoma kwa makini na kwa ufahamu kisha kujibu maswali kwa ufasaha
Kusoma
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk .34
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
5 Kuandika Utungaji wa kikamilifu barua rasmi
Aweze kutunga na kuandika barua rasmi wakizingatia vipengele vyote muhimu.
Kuandika
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk .24
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2JU
MA
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
4 1 Kusikiliza na kuzungumza
Majadiliano mfano ‘Mwalimu na Mwanafunzi
Aweze kushiriki vilivyo katika majadiliano akiiga na kujieleza ipasavyo
Kusikiliza
Kuandika
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.56
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Vivumishi Maana Sifa
Aweze kutaja na kueleza maana ya vivumishi na kuvitumia ipasavyo katika sentensi
Kutaja
Kueleza
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 42
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
chati
3 Sarufi Vivumishi-vionyeshi-vimilikishi
Aweze kueleza vivumishi na kuvitumia katika sentensi
Kueleza
Kuandika
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.42
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
chati
4 Kusoma Kusoma na kujibu maswali
Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali vilivyo Kusoma
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 49
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
5 kuandika Imla Aweze kushiriki kikamilifu katika zoezi la imla
Kusikiliza
kuandika
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 54
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
chati
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2JU
MA
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
5 1 Kusikiiza na kuzungumza
Mjadala ‘Utangamano shuleni’
Aweze kushiriki vilivyo mjadala husika huku akijieleza vilivyo.
Majdiliano
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 163
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Aina za maneno Vivumishi
- viulizi- idadi
Aweze kutaja na kubainisha vivumishi viulizi na vya idadi
Kutaja
Kueleza
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk .62
- Mwongozo wa Mwalimu
Jedwali
Kitabu 3 Sarufi Vivumishi
-pekee-majina
Aweze kueleza vivumishi vya pekee na vya majina na kuvitumia
Kutaja
Kueleza
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk .62
- Mwongozo wa Mwalimu
Jedwali
Kitabu
4 Kusoma Ufahamu ‘Lanina’
Aweze Kusoma kifungu cha habari na kujibu maswali ipasavyo
Kusoma
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk .49
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
5 Muhtasari Muhtasari Aweze kusoma kifungu cha habari na kujibu maswali ya kuandika
Kusoma
Kuandika
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk .79
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2muhtasari.
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
6 1 Kusikiliza na kuongea
Hotuba Aweze kujitokeza na kutoa hotuba nzuri huku wakijieleza ipasavyo
Kusema
Kusikiliza
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 68
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Vivumishi -a- unganifu-virejeshi
Aweze kumudu matumizi mema ya vivumishi vya a- unganifu na virejeshi
Kutaja
Kutunga sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 62
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
3 Sarufi Vivumshi -visisitizi
Aweze kuvibainisha vivumishi visisitizi na kuvitumia vilivyo katika sentensi
Kutaja kutunga sentesni
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 62
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
4 Kusoma Ufahamu Maadili ya jamii
Aweze kusoma kwa makini na kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo
Kusoma
Kujibu maswali
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 62
- Mwongozo wa Mwalimu
Kijambo
Kamusi
5 Kuandika Muhtasari Aweze kusoma kifungu cha habari na kukifupisha
Kusoma - Hazina ya
Kiswahili Kidato 2 Uk. 79
- Mwongozo wa
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2vilivyo Mwalimu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
7 1 KusikilizaNa Kuzungumza
Aweze kusoma kifungu cha habari
kusoma- Hazina ya
Kiswahili Kidato 2 Uk. 74
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Vitenzi Halisi Aweze kubainsha vitenzi halisi na kuvitumia katika sentensi
KutajaSentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.74
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
3 Sarufi Vitenzi Vikuu
Aweze kuvitaja na kuvibainisha vitenzi vikuu na kuweza kuvitumia katika sentensi
Kutaja sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.74
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
4 Kusoma Kusoma kwa sauti. Riwaya
Aweze kupanua msamiati wake na ujuzi wa lugha kwa Kusoma kwa mapana na marefu
Kusoma Walibora
Siku NjemaRiwaya
5 Kuandika Ratiba Aweze kuandika ratiba mwafaka kwa shughuli yoyote
Kuandika - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 93
- Mwongozo wa
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2mwalimu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
8 1 KusikilizaNa Kuzungumza
Hadithi visasili
Aweze kushiriki katika kusikiliza na kusimulia kisasili kilichokubalika
Masimilizi - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 72
- Mwongozo wa mwaimu
Kitabu
2 Sarufi Vitenzi-visaidizi
Aweze kuvitaja vitenzi visaididizi kuvibainisha na kuvitumia katika sentensi
Kutaja sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 74
- Mwongozo wa mwaimu
Kitabu
3 Sarufi VitenziVishirikishikiVipungufu
Aweze kuvitaja vitenzi vishirikishi vipungufu, kuvibainisha na kuvitumia katika sentensi
Kutaja sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 74
- Mwongozo wa mwaimu
Kitabu
4 Kusoma Ufahamu shinikizo la marafiki kwa vijana
Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali ya ufahamu.
Kusoma - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 103
- Mwongozo wa mwaimu
KitabuKamusi
5 Kuandika Tangazo la biashara
Aweze kuanduka
Kuandika - Hazina ya Kiswahili Kidato 2
KitabuBango
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2tangazo la biashara la kuvutia wanunuzi
Uk. 107- Mwongozo wa
mwaimu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
9 1 KusikilizaNa Kuzungumza
Hadithi Migani
Aweze kueleza maana ya maghani na kusimulia maghani yoyote katika jamii
Kusimulia - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 74
- Mwongozo wa mwalimu
kitabu
2 Sarufi Vitenzi VishirikishiVipungufu
Aweze kutaja, kubainisha na kutumia katika sentensi vitenzi vishirikishi vipungufu
Kutaja
Sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 74
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Jedwali
3 Sarufi Vitenzi Sambamba
Aweze kutaja na kubainisha na kutumia katika sentensi vitenzi sambamba
Kutaja
Sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 75
- Mwongozo wa mwalimu
Jedwali Kitabu
4 Kusoma Kwa mapana na marefu
Aweze kusoma kwa mapana na marefu huku akipanua uwezo wake wa
Kusoma Walibora
Siku Njema Riwaya
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2msamiati na ujuzi
5 Kuandika Ilani AwezekuandikaIlani mwafaka kwa kuzingatia maagizo
Kusoma - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 118
- Mwongozo wa mwalimu
kitabu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
10 1 Kusikiliza na kuzungumza
Hadithi Hekaya
Aweze kushiriki katka kusimuia hekaya na pia katika kusikiiza
Masimulizi - Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Viwakilishi-maana-nafsi huru
Aweze kutaja viwakilishi maana na matumizi na kuviweka katika sentensi
Kutaja sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk 89
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Jedwali
3 Sarufi Viwakilishi- nafsi-
temezi- viambata
Aweze kutaja viwakilishi nafsi tegemezi
Kutaja Sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk 90
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Jedwali
4 Kusoma Kusoma kwa mapana Magazeti
Aweze kusoma kwa mapana na marefu huku
Kusoma - Magazeti
Magazeti
Majarida
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2wakipanua uwezo wao wa msamiati
- Vitabu
- Majarida vitabu
5 Kuandika Utunzi wa mashairi mepesi
Aweze kusoma na kutunga mashairi mepesi
kutunga - Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk 126
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
JUM
A
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILI VIFAA MAONI 1 Kusikiliza na
kuzungumzaSemi Methali
Aweze kushiriki mazungumzo kwa kutoa ufafanuzi wa methali katika Kiswahili
Maelezo - Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 130
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Viwakilishi -ngeli-
Aweze kutaja na kuvitambua ifaavyo viambishi.
Kutajasentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 89
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Viwakilishi-sifa
Aweze kuvitambua na kuvibainisha viwakilishi vya sifa
Kutaja sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1 Uk. 89
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 211
4 Kusoma Kwa mapana Aweze kupanua ujuzi wake wa lugha na msamiati kwa kusoma kwa mapana
Kusoma
Walibora
Siku Njema
Kitabu
Kamusi
5 Kuandika Insha Aweze kuandika insha mwafaka juu ya hadithi fupi
Kuandika - Hazina ya
Kiswahili Kidato 1 Uk. 137
- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
12 123 M T i
h a n i
45
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2
MUHULA 2
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
1 1 Kusikiliza Na Kuongea
Matamshi bora/ka/ na /ga/
Aweze kufanya mazoezi ya kutosha ya matamshi kati ya /ka/ na /ga/
Kutamka
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.109
- Mwongozo wa mwalimu
Jedwali
Kitabu
2 Sarufi Usemi halisi na usemi wa taarifa
Aweze kufanya mazoezi ya kutosha na kubainisha iliyopo baina ya usemi halisi na usemi wa taarifa
Kusema
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.31
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
3 Sarufi Kusoma kwa mapana Riwaya
Aweze kusoma kwa
WaliboraRiwaya
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2mapana na marefu na kupanua msamiati wake na ujuzi wake na kazi
Kusoma Siku Njema
4 Kusoma Kusoma kwa ziada
Aweze kusoma kwa ziada maktabani na kuongeza ujuzi wake wa msamiati na wa lugha
Kusoma
- Magazeti
- Majarida
- Vitabu
Kitabu
5 Kuandika Dayolojia Aweze kuandika dayalojiamwafaka akizingatia taratibu zake zote
kuandika- Hazina ya
Kiswahili Kidato 2 Uk.173
- Mwongozo wa mwalimu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
2 1 Kusikiliza na kuongea
Semi methali na misemo
Aweze kutaja methali kadhaa na misemo kueleza maana na matumizi
Kuzungumza
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 107
- Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2yake.
2 Sarufi Vielezi Aweze kutaja vielezi kadhaa na kuvitumia kisahihi katika sentensi
Kutaja
- Hazina ya Kiswahili Kidato 1
- Silabasi ya Kiswahili. Uk 29
Kitabu
Kamusi
3 Kusoma Vielezi matuizi mengne ya kamusi
Aweze kueleza maana na aina kadhaa za kamusi na kutambua mpangilio wa vitenzi katika kamusi
Kusoma
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 107
- Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Kusoma kwa ziada
Aweze kusoma kwa sauti na kwa mapana na marefu na kupanua msamiati wake
Riwaya
Walibora
‘Siku njema’ Riwaya
Kamusi
5 Kuandika Utungaji kikamilifu matangazo
Aweze katunga na kuandika kikamilifu ‘matangazo’.
Kuandika
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 107
- Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2JU
MA
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
3 1 Kusikiliza Na kuzungumza
Maamkizi na mazungumzo mahojiano
Aweze kushiriki vyema katika maamkizi na kufanya mahojiano yoyote ipasavyo.
Maohojiano
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.138
- Mwongozo Wa mwalimu
Kalamu
Kitabu
2 Sarufi Vielezi namna / jinsi wakati
Aweze kutaja baadhi ya vielezi vya namna na kubainisha matumizi yao.
Maelezo
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.138
- Mwongozo Wa Mwalimu
- Kie Silabasi Uk. 29
Jedwali
Kitabu
3 Sarufi Vielezi Idadi / kiasiMahali
Aweze kutaja baadhi ya vielezi vya idadi na mahali kubainisha matumizi yake katika sentensi.
Maelezo
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.138
- Mwongozo Wa Mwalimu
- Silabasi Uk.29
Jedwali
Kitabu
4 Kusoma Ufahamu Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali ya
Kusoma - Hazina ya
Kiswahili Kidato 2 Uk.138
- Mwongozo Wa mwalimu
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2ufahamu ipasavyo.
5 Kwa ziada magazeti
Kusoma kwa ziada magazeti
Aweze kusoma kwa makini na kwa ziada huku akipanua uwezo wake wa msamiati
Kusoma
- Mwongozo Wa mwalimu Magazeti
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
4 1 Kusikiliza na kuzungumza
Maigizo Aweze kushiriki vilivyo katika maagizo na kujieleza
KuigizaHazina ya Kiswahili Kidato 2Uk.
Kitabu
2 Sarufi Matumizi ya lugha viunganishi
Aweze kutaja baadhi ya viunganishi vya Kiswahili na kuvitumia katika sentensi.
KutungaSentensiSahihi
- Silabasi ya Kiswahili Kidato Uk .121- Mwongozo wa mwalimu Kitabu
3 Sarufi Matumizi ya lughaVihusishiVihisishi
Aweze kutaja baadhi ya vihusishi na vihisishiKadhaa na kuvitumia
Kutunga sentensiSahihi
- Silabasi ya Kiswahili Kidato 2 Uk .121- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2vilivyo katika sentensi ya Kiswahili
4 Kusoma Ufahamu Aweze kusoma kwa ufahamu ifaavyo katika na kujibu maswali ya ufahamu.
Kusoma Hazina ya KiswahiliKidato 2Uk.122
Kitabu
5 Kusoma Kwa mapana na marefu
Aweze kusoma kwa mapana na marefu huku akipanua msamiati wake
Riwaya Walibora ‘Siju Njema’
Riwaya
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
5 1 Kusikiliza na kuzungumza
Vitendawili Mafumbo
Aweze kuandika vitendawili kuvitega na kuviteguadarasani ipasavyo.
Kutega kutegua
Hazina ya Kiswahili Kidato 2Uk. Kitabu
Kamusi
2 Sarufi Nyakati Aweze Hazina ya Kiswahili
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2-li--me--ta-
kutumia nyakati mbali katika sentensi katika hali sentensi katika hali ya kinisha na hali kanushi.
Sentensi Kidato 2Uk. 132 Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Nyakati -nge-ngali-po
Aweze kutumia hali mbalimbali kiyakinifu na pia kikanushi katika sentensi yakinifu.
Sentensi - Hazina ya KiswahiliKidato 2 Uk. 132- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Kusoma kwa ziada magazetini
Aweze kusoma kwa ziada habari mbalimbali kutoka magazetini na kupanua uwezo wao wa msamiati.
Kusoma
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 135- Mwongozo wa 143mwalimu
Kitabu
Kamusi
5 Kuandika
Mazungumzo Ya simu
Aweze kufanya mazoezi ya kuandika mazungumzo mwafaka ya simu
kuandika
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 143- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2JU
MA
KIPINDI SOMO YALIYOMO LENGO MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
6 Kusikiliza na kuzungumza
Mjadala ‘shule za bweni ni mzigo kwa wazazi
Aweze kushiriki vilivyo kwa kuchangia mjadala kua shule za bweni ni mzigo kwa wazazi
Mjadala
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.- Mwongozo wa mwalimu Kitabu
Sarufi Vinyume vya vitenziukanushaji ‘na’ na ‘me’
Aweze kutumia nyakati za ‘na’ na ‘me’ katika hali kamilifu na kutumia nyakati hizo katika hali ya kukanusha
Kutaja
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.167- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
Sarufi Vinyume vya vitenzi Ukanushaji‘li’ na ‘ta’
Aweze kutumia nyakati za ‘na’ na ‘me’ katika hali yakinifu na kanushi.
Kutaja
- Hazina ya KiswahiliKidato 2 Uk.167- Mwongozo wa mwalimu Kitabu
Kamusi Kusoma Ufahamu
Kusoma na kujibu maswali
Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali ya ufahamu vilivyo
Kusoma- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.168- Mwongozo wa mwalimu Kitabu
Kamusi Kuandika Insha ya
mdokezoAweze kuandika insha ya mdkezo
- Hazina ya Kiswahili
KitabuKamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2kwa kutoa masimu lizi ya kuvutia
Kuandika Kidato2 - Silabasi
Uk. 29
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
7 1 Kusikiliza na kuzungumza
Tanakali za sauti Aweze kutaja mifano ya tanakali za sauti na kuzitumia katika sentensi
Kutaja
Kutumia
Silabasi ya KiswahiliKidato 1Uk. 29
Kitabu
2 Sarufi Sentensi ya Kiswahili-Kirai
Aweze kueleza maana ya kirai na pia aweze kuibainisha virai katika sentensi
Maelezo
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 153- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
3 Kusoma Kwa kina Riwaya
Aweze kusoma kwa maana na marefu kwa kuongezea maarifa na ujuzi wake wa lugha
Kusoma
Walibora
Siku NjemaRiwaya
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 24 Kusoma Aina za Kamusi
Aweze kutaja aina mbalimbali za kamusi na kueleza matumizi yake.
Maelezo
- Silabasi ya KiswahiliKidato 1- Mwongozo wa mwalimu Uk. 29
Kamusi Mbalimbali
5 Kuandika shajara Aweze kushiriki katika uandishi wa shajara huku akizingatia mahiitaji yote.
Kuandika
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 159- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
8 1 Kusikiliza na kuzungumza
Matamshi p/b
Aweze kufanya mazoezi ya kutamka ipasavyo wa herufi ‘p’ na ‘b’
Mazoezi - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 29- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Sentensi ambatano kikundi nominoKikundi tenzi
Aweze kubainisha sentensi KN na KT katika uchanganuzi
Kutaja kueleza
- Hazina ya Kiswahili kidato 2 - Mwongozo wa mwalimu- KIE:Silabasi Uk 29
Kitabu
3 Kusoma Ufahamu Aweze kusoma kwa ufahamu
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 148
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2na kujbu maswali ya ufahamu vilivyo
Kutaja
Kueleza
- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
4 Kusoma Kusoma kwa kinaRiwaya
Aweze kupanua msamiati wake na uwezo wake wa lugha kwa kusoma kwa mapana
Kusoma Walibora
‘Siku Njema’ Kitabu
Kamusi
5 Kuandika Insha Aweze kuandika insha nzuri ya maelezo
kuandika- Silabasi Kidato 2 Uk.32Kidato2- Mwongozo wa Mwalimu.
Kitabu
Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
9 1 Kusikiliza na kuzungumza Vitendawili
Aweze kutaja kutega na kujibu baadhi ya vitendawili
Kutega Vitendaweili
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk151- Mwongozo wa mwalimu Kitabu
2 Sarufi
Upambanuzi wa sentensi kwa njia ya mstari
Aweze kupambanua sentensi ya Kiswahili akibainisha virai vyote kwa njia ya kistari
Kupambanua Sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk153- Mwongozo wa mwalimu
Mchoro
Kitabu
3 Kusoma Aweze kusoma - Hazina ya Kiswahili
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2
Ufahamu ka ufahamu na kwa makini na kujibu maswali.
Kusoma Kidato 2 Uk156- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
4 Kusoma Kusoma kwa Mapana ‘Riwaya’
Aweze kusoma kwa mapana na marefu riwaya ya siku njema huku akipanua msamiati wake
Kusoma
Walibora
Siku Njema Riwaya
5 Kuandika Utungaji kikamilifu‘ Resipe’
Aweze kuandika ‘Resipe’ mwafaka wazingatia mahitaji yote.
Kuandika - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk151- Mwongozo wa mwalimu
kitabu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
10 1 Kusikiliza na kuongea
Maamkizi na mazungumzo haspitalini
Aweze kushiriki vilivyo katika maamkizi husika na kufanya mazungumzo
Mazungumzo - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.176- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
2 Sarufi Mnyambuliko wa vitenziKutendwaKutendana
Aweze kufanya mnyambuliko wa vitenzi akizingatia kauli za kutendwa na
Unyambuzi wa vitenzi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.176- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2kutendewa
3 Sarufi Mnyambuliko wa vitenziKutendekaKutendana
Aweze kufanya mnyambuliko wa vitenzi akizingatia kauli ya kutendeka na kutendeana
Mnyambuliko
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.176- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Kwa kina Riwaya.
Aweze kusoma kwa kina kupanua uwezo wake wa msamiati na ujuzi wa lugha.
Kusoma
Walibora
Siku Njema
Riwaya
5 kusoma Ufahamu Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswai ipasavyo
Kusoma - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.168- Mwongozo wa mwalimu
Kitabu
Kamusi
JUM
A KIPNDI SOMO YALIOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
11 1 Kusikiliza na kuzungumza
Mjadala Aweze kushiriki vilivyo katika mjadala akichangia kwa kutoa maoni na kuusikiliza maoni ya w engine.
Majadiliano
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 185- Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 22 Sarufi Uakifishaji
Maandishi ya aina mbalimbali
Aweze kufanya mazezi ya uakifishaji wa maandishi mbalimbali ya Kiswahili
Kuakifisha
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 195- Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu
3 Sarufi Uakifishaji sentensi ya Kiswahili
Aweze kufanya mazoezi ya kutosha kuhusu uakifishaji wa sentensi za Kiswahili.
Kuakifisha
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 195- Mwongozo Wa Mwalimu- SilabasiUk 29
Kitabu
4 Kusoma Ufahamu Aweze kusoma kifungu cha habari kwa makini na ufahanu na kujibu maswali vilivyo
Kujibu maswali
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk.181 - Mwongozo Wa Mwalimu.- SIlabasi Uk. 29
Kitabu
Kamusi
5 Kuandika Orodha Aweze kuandika orodha kamilifu ya mmfuatano wa mambo katika tamasha fulani.
Kuandika
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 93- Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MBINU
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 212 1
M T I H A N
I2
M T I H A N
I3
M T I H A N
I4
M T I H A N
I5
M T I H A N
IMUHULA 3
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
1 1 Kusikiliza na Kuzungumza
Maamkizi na mazungumzo hospitalini.
Aweze kushiriki vilivyo na kufanya mazoezi
Kuigiza
Mazungumzo
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 176 - Mwongozo Wa
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2ya mazungumzo hospitalini.
mwalimu
2 Sarufi Mnyambuliko wa Vitenzi
Aweze kueleza maana ya mnyambuliko na kutoa kauli kadhaa.
Kueleza
Kutaja
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 176- Mwongozo Wamwalimu
3 Sarufi Mnyambuliko wa Vitenzi
Aweze kufanya unyambuzi wa vitenzi kadhaaa kwa kuzingatia kauli za kutenda na kutendata
Kufanya
Unyambuzi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 176- Mwongozo Wamwalimu
4 Kusoma Kusoma kwa kina .Riwaya teule.
Aweze kusoma kwa mapana na marefu huku akipanua uwezo wake wa msamiati na lugha
Kusoma
Burhani
Mwisho wa Kosa
5 Kuandika Kuandika Shajara ya wiki
Aweze kuandika shajara ya kibinafsi ya muda teule
Maelezo - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 176- Mwongozo Wamwalimu
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 22 1 Kusikiliza na
kuzungumzaSemi na nahau Aweze kueleza
maana ya semi na nahau, kutaja mifano na kuitumia vilivyo katika sentensi
Kuigiza
Mazungumzo
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 185 - Mwongozo Wamwalimu
Kitabu
Kamusi
2 Sarufi Uundaji wa maneno
Aweze kuunda maneno na kueleza waziwazi jinsi maneno ya Kiswahili yanavyoundwa
Kueleza
Kutaja
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 186- Mwongozo Wamwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Uakifishaji kistari kirefuKistari kifupi. Mstari
Aweze kuakifisha kwa njia mwafaka wakitumia viwakifishi teule
Kufanya
Unyambuzi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 186- Mwongozo Wamwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Ufahamu Aweze kusoma kwa ufahamu na kujibu maswali vilivyo. Kusoma
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 181
Kitabu
Kamusi
5 Kusoma Kusoma kwa kina Riwaya
Aweze kusoma kwa kina huku akipanua uwezo wake wa msamiati na lugha
Maelezo Burhani
Mwisho wa Kosa
Riwaya
Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 23 1 Kusikiliza na
KuzungumzaMaigizo ya ngonjera
Aweze kupanua ujuzi wa kuigiza kazi za kifasihi kwa kuigiza ngonjera katika ushairi
Maigizo - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 210- Mwongozo Wamwalimu
Kitabu
Kamusi
2 Sarufi Aina za Vitenzi Aweze kutambua na kutaja aina mbalimbali za vitenzi kutoka sentensi teule kisha wafanye zoezi juu ya vitenzi.
Kutambua virai
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 74- Mwongozo Wamwalimu
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Utangulizi Aweze kueleza kwa nini watu hubadilisha matumizi ya lugha katika mazingira tofauti
Maelezo- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 135- Mwongozo Wamwalimu
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Kwa kinaRiwaya
Aweze kusoma kwa makini na kupanua uwezo wake wa msamiati na lugha
Kusoma Burhani
Mwisho wa Kosa
Riwaya
Kamusi
5 Kuandika Mialiko na risala
Aweze kushiri katika uandishi mzuri wa mialiko na risala za aina zote
Kuandika - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 183- Mwongozo Wamwalimu
Kitabu
Kamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2JU
MA
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
4 1 Kusikiliza na Kuzungumza
Vitendawili
Aweze kutaja umuhimu wa vitendawili na pia kueleza muundo wa vitendawili.
Kutegeana Vitendawili
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 151- Mwongozo Wamwalimu
Kamusi ya vitendawili
2 Sarufi Virai katika Sentensi
Aweze kueleza maana ya virai na kuvitambua katika sentensi
Sentensi
Maelezo
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2- Mwongozo Wamwalimu- Silabasi Uk.30
Kitabu
3 Sarufi Aina za virai katika Sentensi
Aweze kutaja na kueleza maana mbalimbali za virai katika lugha ya Kiswahili
Maelezo
Sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2- Mwongozo Wamwalimu- Silabasi Uk.30
Kitabu
4 Kusoma Ufahamu
‘kurwa na Doto’
Aweze kusoma kwa makini na kwa ufahamu na aweze kujibu maswali yote ya ufahamu.
Kusoma
Kujibu maswali
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 181- Mwongozo Wamwalimu
Kitabu
Kamusi
5 Kuandika Kusoma kwa mapana na
Aweze kusoma kwa mapana na Kusoma
Burhani Riwaya
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2marefu Riwaya
marefu huku akiimarisha uwezo wake wa msamiati na lugha
kuchambua Mwisho wa KosaKamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
5 1 Kusikiliza na Kuzungumza
Methali Aweze kutaja na kueleza methali zinazokinzana katika maudhui
Kutaja
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 194- Mwongozo Wamwalimu
Kamusi ya vitendawili
2 Sarufi Ukubwa na Udogo
Aweze kutaja na kubansha ukubwa wa maneno na kuyatumia vyema katika sentensi
Kutaja
Sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 205- Mwongozo Wamwalimu- Silabasi Uk.30
Kitabu
3 Sarufi Uakifishaji-mabano-herufi nzito-italiki-ritifaa
Aweze kuakifisha vilivyo kwa kutumia vyema mabano herufi nzito Italia na
Uakifishaji - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk195- Mwongozo WaMwalimu- Silabasi Uk.30
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2ritifaa
4 Kusoma Mashairi huru
Aweze kusoma kwa kina mashairi huru na kubaini tofauti iliopo baina ya mashairi hayo na mashairi ya Aurudhi
Kusoma - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 190- Mwongozo Wamwalimu
Kitabu
Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
6 1 Kusikiliza na kuongea
Mighani
Aweze kueleza maana ya mighani na aweze pia kusimulia mighani
Masimulizi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 151- Mwongozo wa Mwalimu Kitabu
2 Sarufi Uundaji wa nomino kutokana na Kitenzi
Aweze kuunda nomino kutokana na vitenzi halisi bila matatizo
Kutunga nomino
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 186- Mwongozo wa Mwalimu - Kie:silabasiUk. 31
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Uundaji wa nomino kutokana na nomino
Aweze kuunda nomino kutokana na nomino nyinginebila matatizo yoyote
Kutunga nomino
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 186- Mwongozo wa Mwalimu- Kie: Silabasi.Uk. 31
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Ufahamu Aweze kusoma - Hazina ya Kiswahili Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2kwa makini na kwa ufahamu huku akijibu maswali ya ufahamu vilivyo
Kusoma
Kidato 2 Uk 190- Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
5 Kusoma Kusoma kwa ziada
Aweze kusoma kwa mapana na marefu huku akipanua uwezo wake wa msamiati na lugha
Kusoma
Burhani :
MwishoWaKosa
Riwaya
Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
7 1 Kusikiliza na kuongea
Mazungumzo
Aweze kushiriki mazungumzo huku akieleza ipasavyo akipanua uwezo wake.
Mazungumzo
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 168- Mwongozo wa Mwalimu Kitabu
2 Sarufi Wastani na udogo
Aweze kutaja udogo na wastani wa vitu na kuvitumia kikamilifu katika sentensi.
Sentensi - Hazina ya Kiswahili Kidato 2Uk 205- Mwongozo wa Mwalimu - Kie:silabasiUk. 31
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Sentensi ambatano
Aweze kueleza maana ya sentensi ambatano na kutoa mifano ya
Kutunga Sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 - Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2sentensi hizo - Kie: Silabasi.
Uk. 31 4 Kusoma
UfahamuAweze kusoma kwa makini na kwa ufahamu huku akijibu maswali ya ufahamu vilivyo
Kusoma
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 198- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
5 Kusoma Kusoma kwa mapana na marefu.Riwaya
Aweze kusoma kwa mapana na marefu huku akipanua uwezo wake wa msamiati na lugha
Kusoma
Burhani :
MwishoWaKosa
Riwaya
Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
8 1 Kusikiliza na kuongea
Methali
Aweze kutaja methali ambazo zinaoana kimaana na ambazo zinatoa mafumbo
Mazungumzo
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 194- Mwongozo wa Mwalimu Kitabu
2 Sarufi
Vihusishi
Aweze kueleza maana ya kivumishi, kutaja mifano na kubainisha matumizi katika sentensi
Sentensi - Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 121 - Mwongozo wa Mwalimu - Kie:silabasiUk. 31
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Aweze kuakifisha - Hazina ya Kiswahili Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2
Uakifishaji; ! ? na . :
kwa njia mwafaka kwa kutumia alama za Uakifishaji
Kutunga Sentensi
Kidato 2- Mwongozo wa Mwalimu- Kie: Silabasi.Uk. 31
Kamusi
4 Kusoma Ufahamu Kusoma makala na kujibu maswali ya ufahamu
Aweze kusoma kwa makini na kwa ufahamu huku akijibu maswali ya ufahamu vilivyo
Kusoma
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 198- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
5 Kusoma Mahojiano
Aweze kushiriki mahojiano ya kutafuta kazi kwa kujieza vilivyo na kwa ufasaha.
Kusoma
Burhani :
MwishoWaKosa
Riwaya
Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
9 1 Kusikiliza na kuongea Mafumbo
/chemsha bongo
Aweze kufumba na kufumbua mafumbo kuchemsha bongo na kushiriki ipasavyo katika zoezi hilo
Kufumba na kufumbua
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2Uk 151- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
2 Sarufi Aweze - Hazina ya Kiswahili
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2Uwakifishaji –mtaji -msharazi- kinyotadukuduku
kufanya uakifishaji uafaao kwa kutumia alama za mtajo, msharazi, kinyota na dukuduku
Kuakifisha
Kidato 2 Uk. 195- Mwongozo wa Mwalimu - Kie:silabasiUk. 31
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Mnyambuliko wa vitenzi-fanyiza-fanyia
Aweze kufanya mnyambuliko wa kisawasawa wa vitenzi kwa kuzingatia kauli za fanyiza, fanyia, fanyana
mnyambuliko
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2- Mwongozo wa Mwalimu- Kie: Silabasi.Uk. 31
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma
Ufahamu Viumbe wa siku hizi
Aweze kusoma kwa makini na kwa ufahamu huku akijibu maswali ya ufahamu vilivyo
Kusoma
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 205- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
5 Kusoma Dayolojia
Aweze kuandika dayolojia kwa njia mwafaka wakizingatia mahitaji yote.
Kuandika
- Hazina ya KiswahiliKidato 2 Uk 173- Mwongozo wa Mwalimu
Riwaya
Kamusi
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
10 1 Kusikiliza na Tanakali za sauti Aweze - Hazina ya Kiswahili
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2kuongea kutaja mifano ya
maneno ya tanakali za sauti na kuyatumia vyema katika sentensi
Kutajasentensi
Kidato 2 Uk 203- Mwongozo wa Mwalimu Kitabu
Kamusi
2 Sarufi Vihusishi Aweze kutaja mifano ya vihusishi na kuvitumia vyema katika sentensi.
Kutajasentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 121- Mwongozo wa Mwalimu - Kie:silabasiUk. 31
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Vihusishi Aweze kutaja mifano halisi ya vihusishi na kuweza kuvitumia barabara katia sentensi.
KutajaKutunga sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 121- Mwongozo wa Mwalimu- Kie: Silabasi.Uk. 31
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Kusoma kwa kina
Aweze kusoma kwa marefu huku wakipanuaUwezo wake wa msamiati
Kusoma
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 205- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
5 Kusoma Kusoma kwa mapana na marefu
Aweze kusoma kwa ufahamu ili kuweza kujibu maswali ipasavyo.
Kusoma
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 213- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2JU
MA
KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
11 1 Kusikiliza na kuongea
Mjadala Aweze kushiriki vyema katika mjadala akieleza ipasavyo kwa kutetea au kupinga mjadala
Kutajasentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 203- Mwongozo wa Mwalimu Kitabu
Kamusi
2 Sarufi Nyakati-na –ta--li- -me-
Aweze kutumia nyakati kisahihi katika hali kanushi yakinifu akizingatia nafsi
Kutajasentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 121- Mwongozo wa Mwalimu - Kie:silabasiUk. 31
Kitabu
Kamusi
3 Sarufi Hali za ---nge –ngali-ngeingeli, ka,ki, hu
nk
Aweze kutumia hali zote kisahihi katika uyakinifu na pia ukanushi
KutajaKutunga sentensi
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk. 121- Mwongozo wa Mwalimu- Kie: Silabasi.Uk. 31
Kitabu
Kamusi
4 Kusoma Kusoma kwa mapana
Aweze kusoma kwa marefu huku wakipanuauwezo wake wa msamiati
Kusoma
- Hazina ya Kiswahili Kidato 2 Uk 205- Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu
Kamusi
5 Kusoma Insha ya Methali‘Kusikia si kuona’
Aweze kuandika kisa kinachosimulia mambo Kuandika
Kingei na Ndalu:
Kamusi ya Methali
Kitabu
Kamusiya
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2yanayooana na methali hii‘Kusikia si Kuona’
Methali
JUM
A KIPINDI SOMO YALIYOMO SHABAHA MAZOEZI ASILIA VIFAA MAONI
12 1 Kusikiliza na kuongea
M T I H A N
I 2 Sarufi
M T I H A N
I 3 Sarufi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 2
M T I H A N I 4 Kusoma
M T I H A N
I 5 Kusoma
M T I H A N
I
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFELONG LEARNING