+ All Categories
Home > Documents > Zoezi&&1:&Toa&maana&ya&msamiati&huu& - bu.edu · ©!Boston!University!...

Zoezi&&1:&Toa&maana&ya&msamiati&huu& - bu.edu · ©!Boston!University!...

Date post: 02-Nov-2018
Category:
Upload: leanh
View: 250 times
Download: 0 times
Share this document with a friend
2
© Boston University LANGUAGE PROGRAM, 232 BAY STATE ROAD, BOSTON, MA 02215 www.bu.edu/Africa/alp [email protected] 617.353.3673 Zoezi # 1: Toa maana ya msamiati huu i) kudeka ii) Puliza iii) Muhula iv) Kujitahidi v) Bidii vi) Ziada vii) Haki viii) Kiu ix) Juu juu x) Kunyata xi) Thibitisha xii) Mchanganyiko xiii) Urithi xiv) Mimba xv) Kujuta xvi) Kulipa Zoezi #2: Tumia maneno hayo juu katika sentensi kisha utafsiri Zoezi #3: Jibu maswali haya i) Baba na mama Rukia walikuwa na watoto wangapi? Wataje. ii) Baba yao alipenda kusisitiza nini kila asubuhi? iii) Watoto hao walionekana wenye tabia gani? iv) Rukia alipochelewa alisema alikuwa wapi? v) Kunyata ni kufanya nini? vi) Nani alipewa barua alete nyumbani? vii) Barua ilisema nini? viii) Kwanini Baba aliwakataza kupanda magari ya watu wengine? ix) Je Rukia angesikiliza maneno ya wazazi wake angepata shida ile? x) Unatoa ushauri gani kwa vijana wadogo?
Transcript
Page 1: Zoezi&&1:&Toa&maana&ya&msamiati&huu& - bu.edu · ©!Boston!University! LANGUAGE’PROGRAM,’232BAY’STATE’ROAD,’BOSTON,’MA’02215’ €™ africa@bu.edu’ 617.353.3673!

 

©  Boston  University  

LANGUAGE  PROGRAM,  232  BAY  STATE  ROAD,  BOSTON,  MA  02215  www.bu.edu/Africa/alp  

[email protected]  617.353.3673  

Zoezi  #  1:  Toa  maana  ya  msamiati  huu  

i) kudeka  ii) Puliza  

iii) Muhula  iv) Kujitahidi  

v) Bidii  

vi) Ziada  vii) Haki  

viii) Kiu  

ix) Juu  juu  x) Kunyata  

xi) Thibitisha  xii) Mchanganyiko  

xiii) Urithi  

xiv) Mimba  xv) Kujuta  

xvi) Kulipa  

 Zoezi  #2:  Tumia  maneno  hayo  juu  katika  sentensi  kisha  utafsiri  

   

 Zoezi  #3:  Jibu  maswali  haya  

i) Baba  na  mama  Rukia  walikuwa  na  watoto  wangapi?  Wataje.  ii) Baba  yao  alipenda  kusisitiza  nini  kila  asubuhi?  

iii) Watoto  hao  walionekana  wenye  tabia  gani?  iv) Rukia  alipochelewa  alisema  alikuwa  wapi?  

v) Kunyata  ni  kufanya  nini?  

vi) Nani  alipewa  barua  alete  nyumbani?  vii) Barua  ilisema  nini?  

viii) Kwanini  Baba  aliwakataza  kupanda  magari  ya  watu  wengine?  

ix) Je  Rukia  angesikiliza  maneno  ya  wazazi  wake  angepata  shida  ile?  x) Unatoa  ushauri  gani  kwa  vijana  wadogo?  

Page 2: Zoezi&&1:&Toa&maana&ya&msamiati&huu& - bu.edu · ©!Boston!University! LANGUAGE’PROGRAM,’232BAY’STATE’ROAD,’BOSTON,’MA’02215’ €™ africa@bu.edu’ 617.353.3673!

 

  2  

Zoezi  la  4:  Jibu  kweli  au  Si  kweli  

i) Mama  Rukia  alimwambia  Rukia  kuhusu  magonjwa  ya  ukimwi.  ii) Baba  Rukia  aliwaonya  watoto  wake  wasiombe  lifti.  

iii) Mbwana  na  Rukia  waliwahi  kurudi  nyumbani  kila  siku.  iv) Kuwa  chini  ya  miguu  ni  sawa  na  kuomba  msamaha.  

v) Rukia  alisema  aiomba  lifti  kwasababu  nauli  yake  iliibiwa.  

vi) Inaonekana  kama  Rukia  si  msichana  mtiifu.  vii) Mbwana  alimwona  dada  yake  akinywa  soda  na  wavulana  asiowajua.  

 

 Zoezi  la  5:  Jibu  Swali  hili  

Elezea  maana  ya  methali  hii  “Asiyesikia  la  mkuu  huvunjika  guu”  kama  Ilivyotumika  katika  hadithi  hii.  

 

Zoezi  la  6:  Jibu  Swali  hili  Andika  Muhtasari  wa  igizo  hili  kama  unamwadithia  mtu  mwingine.  

 

Zoezi  la  7:  Jibu  Swali  hili  Unafikiri  kwanini  hadithi  nyingi  za  watoto  wa  Afrika  Mashariki  husisitiza  

Methali  hii?    

Zoezi  la  8:  Jibu  Swali  hili  

Taja  methali  au  msemo  wa  Kiingereza  unayofanana  na  methali  hii.  Unaweza  kuelezea  methali  hiyo  hutumikaje?  

 Zoezi  la  9:  Jibu  Swali  hili  

Andika  kisa  kifupi  kuelezea  methali  “Asitesikia  la  mkuu  huvunjika  guu”.  

 Zoezi  la  10:  Jibu  Swali  hili  

Jaribu  kuigiza  methali  hii    ili  kufanya  mazoezi.  

 


Recommended