www.ifl a.orglanguage: design/photography: Eva and Sarah van Gamerendesign/photography: Eva and Sarah van Gamerendesign/photography: Eva and Sarah van Gameren
IFLA section on Library Services to Multicultural PopulationsIFLA section on Library Services to Multicultural PopulationsIFLA section on Library Services to Multicultural PopulationsClara M. Chu ([email protected]) Clara M. Chu ([email protected]) Clara M. Chu ([email protected]) UCLA, Department of Information Studies UCLA, Department of Information Studies UCLA, Department of Information Studies
IFLA Section on Library Services to Multicultural PopulationsIFLA Section on Library Services to Multicultural Populations
Maktaba ya watu wote bila ubaguzi (MLS)
Ni nini na kwa nini “Maktaba ya watu wote bila ubaguzi” (MLS)
inaendelea kuwa swali inayoulizwa na maktaba na watahalamu. Kwanza
kabisa, MLS ni chombo cha mazulio kwa wale wote ambao wanatumia
maktaba, lengo muhimu kuwa watu wa kutoka inchi za inje, wakimbizi na
wengine. Kawaida MLS inajulikana kama chombo cha habari cha wakimbizi
na wale wachache ambao wanausiano na nchi nyingine za inje. Lakini MLS
inajaribu kuwahakilisha watu wote na milango zake iko wazi kwa wale wote
ambao wana maitaji ya kutaka kujua na kutambua mengi.
Kwa hivyo MLS ni chombo cha habari kwa wote, inawapatia watu wote fursa
ya kujua mengi kuhusu lugha, utamaduni, na mchangalio ya watu wengine
inchini.
kiswahili
Maktaba ya watu wote bila ubaguzi (MLS)Umuimu kumi ya Maktaba ya MLS
1. Misheni ya maktaba ni kuhudumia jamuiya yote. Bila ubaguzi wa rangi, 1. Misheni ya maktaba ni kuhudumia jamuiya yote. Bila ubaguzi wa rangi, 1. Misheni ya maktaba ni kuhudumia jamuiya yote. Bila ubaguzi wa rangi, 1. Misheni ya maktaba ni kuhudumia jamuiya yote. Bila ubaguzi wa rangi, kabila, watu wa rangi na kabila zote wakaribishwa.kabila, watu wa rangi na kabila zote wakaribishwa.kabila, watu wa rangi na kabila zote wakaribishwa.
2.2. Huduma ya maktaba ya MLS uhudumia urari wa huduma na penyenye ya Huduma ya maktaba ya MLS uhudumia urari wa huduma na penyenye ya Huduma ya maktaba ya MLS uhudumia urari wa huduma na penyenye ya Huduma ya maktaba ya MLS uhudumia urari wa huduma na penyenye ya aridhio kamili.aridhio kamili.aridhio kamili.
3. Wakati huu wa utandawazi na uongezevu wa urahisi wa mawasiliano na kusafi ri, watu wanaitaji kujifunza mila, lugha na utamaduni wao, kwani inaongeza kukubaliana na kuongeza maarifa kuhusu watu wengine.
4. Mazulio katika kabila tofauti na korongo karibu na watu inawasaidia ushirikishaji wa kidemokrasi inchini.
5. Maarifa kuhusu urithi wa mtu na wengine inatomea utamaduni na inasitawisha afi kiana ya mazoezi na mafi kira tofauti ambayo inachangilia katika maendeleo ya taifa moja.
6. Mazulio katika makabila na makorongo kwa kiasi ya watumiaji inasitawisha mafunzo kwa watu wote ambayo inasahalisha mapato ya mafunzo mageni na tabasuri ya kuwapa watu wote urari sawa inchini.
7. Hekima ya dunia, mwaza wa kauli tofauti na utamaduni imechapishwa katika lugha na formati tofauti, kwa hivyo MLS inawaezesha watu wote kusaidiwa kulingana na mahitaji yao.
8. Utaalamu wa mwaza wa kauli tofauti, kazi na utatuzi wa matatizo itamiliki maarifa safi pamoja na maoni ambayo inaweza fi kiliana na njia tofauti ya kutatiza maswala.
9. Maarifa kuhusu maktaba na uhusiano yake na watu wote bila ubaguzi, inaonyesha kwamba, jumuia na utamaduni ni ya maana sana kwa maktaba.
10. Maktaba ni sehemu ya wasomi/mafunzo, maburudisho, na elemu kuhusu utamaduni and huduma zingine. Kwa hivyo maktaba ni sehemu ya kuwaleta watu pamoja.
Maktaba ya watu wote bila ubaguzi (MLS)Umuimu kumi ya Maktaba ya MLS